• Login
    View Item 
    •   Mak IR Home
    • College of Education and External Studies (CEES)
    • School of Education (SEd.)
    • School of Education (SEd.) Collections
    • View Item
    •   Mak IR Home
    • College of Education and External Studies (CEES)
    • School of Education (SEd.)
    • School of Education (SEd.) Collections
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Athari za za kibukusu kama lugha ya kwanza katika kujifunza lugha ya pili Kiswahili

    Thumbnail
    View/Open
    Maters thesis (514.9Kb)
    Date
    2019-02
    Author
    Akinyi, R. Faith
    Metadata
    Show full item record
    Abstract
    Napenda kumshukuru Maulana kwa wema na ukuu wake maishani mwangu. Ni Mungu aliye na rehema na nehema zisokuwa na kipimo maishani mwangu kwani kanijalia uhai na ufahamu ulioniwezesha kukamisha kazi hii.Ninamshukuru Baba ya William Ochieng' na mama yangu Joice Nasike kwa mashauri, na maombi yao kuona kuwa nafanikiwa katika maisha haya. Ni wazazi ambao walinitia moyo pale nilipoona kuwa nimeshindwa. Mwenyezi Mungu awape maisha marefu ili muweze kukula matunda ya jasho lenu. Shukrani za pekee nampa dada yangu Becky. Amelia wa manufaa sana kwa masomo yangu. Alijinyima ili anilipie karo ya chuo kikuu. Mungu akuongezee dada. Siezi msahau mpenzi wangu Kevin Wanjala. Amelia rafiki wa karibu sana kwangu na alinitia moyo kila mara akiniombea mema kimasomo. Ubarikiwe sana ndugu Kevin. Shukrani za pekee ninampa msimamizi wangu mpendwa Bi. Assimwe Caroline kwa kutumia muda wake kunitia moyo kimasomo wakati nilionekana kukata tamaa. Kichwa ya upungufu niyokuwa nayo aliweza kunivumilia, akapitia kazi yangu akaisahihisha na kunielekeza vilivyo kuhakikisha kuwa ni kazi nzuri na yakunisaidia nifuzu vyema. Mungu amtende mema huyu msimamizi. Pia nawashukuru marafiki zangu kama Moraa Janet, Obwona Simon Peter na wengine wote kwa kusimama nami na kuhakikisha nifanyacho chuoni ndicho kilichonipeleka huko. Mungu awape mafanikio maishani mwenu. Nawapenda Sana.
    URI
    http://hdl.handle.net/10570/8341
    Collections
    • School of Education (SEd.) Collections

    DSpace 5.8 copyright © Makerere University 
    Contact Us | Send Feedback
    Theme by 
    Atmire NV
     

     

    Browse

    All of Mak IRCommunities & CollectionsTitlesAuthorsBy AdvisorBy Issue DateSubjectsBy TypeThis CollectionTitlesAuthorsBy AdvisorBy Issue DateSubjectsBy Type

    My Account

    LoginRegister

    Statistics

    Most Popular ItemsStatistics by CountryMost Popular Authors

    DSpace 5.8 copyright © Makerere University 
    Contact Us | Send Feedback
    Theme by 
    Atmire NV